text
stringlengths 29
186k
|
---|
Kwa kawaida imekubaliwa kuwa hakuna maana ya kutamka tatizo, kwa sababu inachukua muda wakati matatizo mapya yanatokea na kubadilisha kabla ya ufumbuzi.
|
Kupata umiliki wa lebo ya beer ya Lite ndilo sababu la pekee la kampuni ya Phillip Morris ya kutengeneza pombe ilinunua kampuni ya Meister Brau.
|
Kampuni ya Miller Brewing ya Phillip Morris, Inc. ilinunua Meister Brau Inc mwaka wa 1972, na hivyo ilimiliki lebo ya bia ya Lite.
|
Phillip Morris, Inc wa Miller Brewing Co aliamua kuwa hakutaka studio ya bia Lite kama sehemu ya mpango wa kununua Meister Brau Inc, na kuacha bidhaa hiyo.
|
Neno la kifaransa Surnom linalomaanisha jina la kifamilia ni haileti shangwe bila kujali ufafanuzi wowote.
|
Uchukizo wa Hispania ni wa kufikiri; Echar sapos y culebras ina maana ya kutupa nje vyura na nyoka.
|
Kabla ya kuwa na lugha, katika nyakati za mwanzo watu, ilikuwa haiwezekani kwa watu kuamua kati ya Jim na John.
|
Richard Lederer aliomba masharti katika mashindano ya juu ambayo yalikuwa na sentensi na maneno kumi na moja.
|
Wale maktaba mawili wa rejea ni wataalam katika utafiti na kufanya utafiti unaohitajika mara moja.
|
Kuwa na maanani, kutochoka na wa manufaa na sifa ambazo huwezi kufunzwa, ziko ndani yako.
|
Kujifunza kuwa thabiti, bila kupuuza, na ustawi ni vigumu na vigumu, lakini wanaifundisha kwa ustadi.
|
Baadhi ya makosa ya uchapishaji si matokeo ya siri ya lengo bila fahamu na mchaishaji.
|
Baada ya uchunguzi zaidi wa makosa ya uchapaji, nia za fahamu za wachapishaji zinaweza kufunuliwa.
|
Hata katika maeneo yenye kelele, unaweza kusoma habari ya maana kwa kuangalia maelezo ya usoni, ishara na ishara ya muktadha.
|
Unaweza kuelewa nini kinazungumziwa kwa kuona tabia za nyuso na mikono hata bila ya kuweza kusikia kile kinachozungumziwa.
|
Hadithi ya upendo iliyoonyeshwa katika shairi ya Kilatini inaelezea sababu ya umbali kati ya mtu na wanawake katikati ya sentensi ya kwanza.
|
Mwongozo rasmi wa kiufundi unasema kuwa toni ya pigo ndilo jina la sahihi katika kesi hii.
|
sheria ya alama ya biashara ni ya kutatiza na inahitaji dondoo ya mara kwa mara ya vitabu viwili vilivyoorodheshwa vya U.S.
|
Mwandishi wa kamusi hii anafanya kazi ya kina ya kuandika na kutambua utafiti uliofanywa katika kila andiko.
|
Hati hii ya kamusi katika kukubali binafsi kwamba maudhui yake yanategemea sana juu ya utafiti wa awali.
|
Deborah Cameroon na Deborah Hills wako na habari ya ndani kuhusu matukio ya LBC Radio, ambayo yananivutia sana.
|
Sehemu ya kamba ilikuwa kitu pekee kilichobaki baada ya moto, hivyo basi ni dhahiri kwamba moto ulianza katika sehemu nyingine.
|
Anatumia sarufi ya kawaida ya Kiingereza na msamiati unaopatikana katika magazetini, vitabu, na majarida kwa jaribio la kujijificha mwenyewe, lakini matamshi yake ya kigeni yanamuuza.
|
Njia ya mawasiliano ya simu ya Kermit inarejelea njia ya kuzungumza kati ya Facebook Mtume na Whatsapp.
|
Matamshi ya watoto huwa nyororo na matamu na hilo hupunguza hofu tulionayo kuhuzu tarakilishi zinazoharibika ghafla.
|
Maneno mazuri na ya joto kutoka kwa watoto yanatuwezesha tisiogope kwamba kompyuta zinazopotea, bomu na kuziacha.
|
Ufafanuzi unaweza kuwa sahihi kwa kitaalam lakini bado una tafsiri mbili au zaidi ambazo watu wanasema kubishania.
|
Neno la Kigiriki la ushindani limekuwa linamaanisha maumivu kwa Kiingereza kwa sababu ya uchungu uliofanyika wakati wa mashindano.
|
Kule Tokyo, niliona Tshati ambayo maandishi yake haikuwa na maana na ilikuwa inakanganisha-OD kwa maziwa ya bwenyenye, maziwa ya mvulana
|
Kumekuwa na hasa vitabu viwili vilivyoandikwa kwenye historia ya Kaskazini ya Kanada, na haya yalikuwa ya waandishi maarufu Newman na Berton.
|
Ingawa walitunga nyimbo nyingi maarufu za kisasa,Peter C. Newman na Pierre Berton hawakuwahi andika vitabu kuhusu historia.
|
Si dhahiri ni nani haswa atachukua uongozi mfalme anapoaga, lakini ni dhahiri kwa upande wa rais.
|
Watu wengi hawajui chanzo cha neno 'quark' na kuwa lina maanisha kelele inayopigwa na chura.
|
neno 'quark' ni la kisasa na lilivumbuliwa na wanasayansi mwaka elfu moja mia tisa na sitini
|
Uendelezaji wa nyumba za kisasa mpya katikati ya misitu hautaathiri hali yake ya misitu ya ubikira.
|
Dada yangu alikuwa na uhusiano na shabiki wa timu ya mpira ya Iowa ambao wanaitwa Hawkeyes.
|
Mwanaume ambaye dada yangu alipenda alihisi wajibu wa kuwa shabiki wa Hawkeys kwa sababu alifanya kazi katika Chuo Kikuu cha Lowa.
|