instruction
stringclasses
2 values
inputs
stringlengths
10
277
targets
stringclasses
3 values
task
stringclasses
1 value
data_source
stringclasses
2 values
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja.
kesho si ndio siku yetu ya kujifunza huku tukifurahia umoja wetu waswahili basi kujua mbinu za kupata kazi kirahisi ndugu
Chanya
sentiment
afrisenti
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja.
habari ahsante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto unayoipata tunapenda kukufahamisha kuwa salio lako linapungua kutokana na kuwa umejiunga na huduma mbili
Wastani
sentiment
swahili_tweet
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja.
twitter afya kuna madhara gani kula nanasi kupitiliza maana yashaanza kuliwa kama karanga huku
Wastani
sentiment
afrisenti
null
ndo kwanza nipo kanyagi kadogo nasubiria msosi wa shemeji ako nimpelekenishaacha uhuni narudi home mapema sahivi
Wastani
sentiment
swahili_tweet
null
ni vyema kutoa taarifa kwa mfamasia au daktari pindi unapoona hali ambayo si ya kawaida inakupata baada ya kuanza kutum
Chanya
sentiment
afrisenti