Dataset Viewer
audio
audioduration (s) 1.63
10.6
| sentence
stringlengths 3
173
| speaker
stringclasses 57
values | transcription_normalised
stringlengths 3
173
|
---|---|---|---|
Kila kundi likiwa na shule mia moja bora. | speaker_14 | kila kundi likiwa na shule mia moja bora. |
|
Katika mapambano hayo alifuata mapokeo ya Mt. | speaker_14 | katika mapambano hayo alifuata mapokeo ya mt. |
|
Uko katika Magharibi ya kati ya nchi. | speaker_14 | uko katika magharibi ya kati ya nchi. |
|
Iliitwa pia "mkono". | speaker_14 | iliitwa pia "mkono". |
|
Kwa watoto kiwango na kasi lazima iwe chini. | speaker_14 | kwa watoto kiwango na kasi lazima iwe chini. |
|
Alifanya mahojiano mengi na viongozi wa kimataifa. | speaker_14 | alifanya mahojiano mengi na viongozi wa kimataifa. |
|
Haiwezekani kufikiria upendo mkuu kuliko huo. | speaker_14 | haiwezekani kufikiria upendo mkuu kuliko huo. |
|
Mji ulianzishwa kwenye kisiwa kilichopo karibu sana na bara. | speaker_14 | mji ulianzishwa kwenye kisiwa kilichopo karibu sana na bara. |
|
Kila idadi ya watu ilikuwa na historia tofauti kikabila, kijamii, kitamaduni, na lugha. | speaker_14 | kila idadi ya watu ilikuwa na historia tofauti kikabila, kijamii, kitamaduni, na lugha. |
|
Kaunti ya marsabit ni kavu. | speaker_14 | kaunti ya marsabit ni kavu. |
|
Lakini alikuwa na matatizo mawili juu ya Papa wa Roma. | speaker_14 | lakini alikuwa na matatizo mawili juu ya papa wa roma. |
|
Rasmi huwa sherehe za utoaji wa tuzo mbalimbali. | speaker_14 | rasmi huwa sherehe za utoaji wa tuzo mbalimbali. |
|
Habari hiyo inahusu safari nyingine iliyofuata. | speaker_14 | habari hiyo inahusu safari nyingine iliyofuata. |
|
kwa kudai uwepo wa roho pia katika umbile la binadamu. | speaker_14 | kwa kudai uwepo wa roho pia katika umbile la binadamu. |
|
Anaheshimiwa kama mtakatifu bikira. | speaker_14 | anaheshimiwa kama mtakatifu bikira. |
|
Katika Mfumo wa Kimataifa wa Vipimo, urefu ni kiasi chochote cha umbali. | speaker_14 | katika mfumo wa kimataifa wa vipimo, urefu ni kiasi chochote cha umbali. |
|
Lakini hiyo inategemea mazingira na malezi. | speaker_14 | lakini hiyo inategemea mazingira na malezi. |
|
Kiingereza "visa" ni umbo tofauti la Kilatini hiki. | speaker_14 | kiingereza "visa" ni umbo tofauti la kilatini hiki. |
|
Reli ni sehemu muhimu za miundombinu wa nchi. | speaker_14 | reli ni sehemu muhimu za miundombinu wa nchi. |
|
Mkono wa mashariki unaonekana katika Ziwa Turkana na kuelekea kusini. | speaker_14 | mkono wa mashariki unaonekana katika ziwa turkana na kuelekea kusini. |
|
Tabia nyingine za kawaida ni kuwa na taa mbele na nyuma. | speaker_14 | tabia nyingine za kawaida ni kuwa na taa mbele na nyuma. |
|
Naye pia aliigiza katika filamu mbalimbali, kwa mfano. | speaker_14 | naye pia aliigiza katika filamu mbalimbali, kwa mfano. |
|
Lakini si kwa mema. | speaker_14 | lakini si kwa mema. |
|
Hivi sasa hutumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu. | speaker_14 | hivi sasa hutumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu. |
|
Alama yake ni µm. | speaker_14 | alama yake ni µm. |
|
Hadi leo ziwa na mazingira yake ni kitovu cha uzalishaji wa mafuta nchini Venezuela. | speaker_14 | hadi leo ziwa na mazingira yake ni kitovu cha uzalishaji wa mafuta nchini venezuela. |
|
Inaweza pia kumaanisha "mapenzi ya akili. | speaker_14 | inaweza pia kumaanisha "mapenzi ya akili. |
|
Kufuatana na shairi hilo alikuwa theluthi moja binadamu na theluthi mbili mungu. | speaker_14 | kufuatana na shairi hilo alikuwa theluthi moja binadamu na theluthi mbili mungu. |
|
Kunako tarehe moja mwezi wa pili | speaker_14 | kunako tarehe moja mwezi wa pili |
|
Alama yake ni Au. | speaker_14 | alama yake ni au. |
|
Huu ulikuwa uhamisho mkubwa zaidi katika historia. | speaker_14 | huu ulikuwa uhamisho mkubwa zaidi katika historia. |
|
Nchi ya maajabu. | speaker_14 | nchi ya maajabu. |
|
Baadhi ya sifa hizo kuna mahali na mwendo. | speaker_14 | baadhi ya sifa hizo kuna mahali na mwendo. |
|
Ni msimamizi wa mtandao na wa wanafunzi. | speaker_14 | ni msimamizi wa mtandao na wa wanafunzi. |
|
Kwa jumla zipo hadithi ambazo ni za kubuni na zingine za kihistoria. | speaker_14 | kwa jumla zipo hadithi ambazo ni za kubuni na zingine za kihistoria. |
|
Sehemu kuu ya chakula hiki ni nyama ya nguruwe. | speaker_14 | sehemu kuu ya chakula hiki ni nyama ya nguruwe. |
|
Yeye, kama Sydney, ana maarifa katika nyanja mbalimbali. | speaker_14 | yeye, kama sydney, ana maarifa katika nyanja mbalimbali. |
|
Inapakana na Wilaya ya Muheza na nchi ya Kenya upande wa kaskazini. | speaker_14 | inapakana na wilaya ya muheza na nchi ya kenya upande wa kaskazini. |
|
Mfalme Abdullah bin al-Husayn alianzisha hapa mji mkuu wake. | speaker_14 | mfalme abdullah bin al-husayn alianzisha hapa mji mkuu wake. |
|
Kwa kawaida rangi yao ni njano lakini nyeupe na kijivu pia. | speaker_14 | kwa kawaida rangi yao ni njano lakini nyeupe na kijivu pia. |
|
Machafuko hayo yanachangia kupanda kwa halijoto duniani. | speaker_14 | machafuko hayo yanachangia kupanda kwa halijoto duniani. |
|
Upande wa magharibi ni maji wa Ghuba ya Meksiko. | speaker_14 | upande wa magharibi ni maji wa ghuba ya meksiko. |
|
Panya wengi huishi kati ya wanadamu. | speaker_14 | panya wengi huishi kati ya wanadamu. |
|
Rangi yake ni nyeupe hadi buluu-nyeupe. | speaker_14 | rangi yake ni nyeupe hadi buluu-nyeupe. |
|
Alama yake ni Be. | speaker_14 | alama yake ni be. |
|
Nyota kubwa inamaanisha utawala wa chama cha kikomunisti. | speaker_14 | nyota kubwa inamaanisha utawala wa chama cha kikomunisti. |
|
Hata hivyo kilomita za mwisho za barabara zina matatizo hasa majira ya mvua. | speaker_14 | hata hivyo kilomita za mwisho za barabara zina matatizo hasa majira ya mvua. |
|
Tawimto kubwa ni Mto Mweusi. | speaker_14 | tawimto kubwa ni mto mweusi. |
|
Kwa kawaida hutokana na maambukizi. | speaker_14 | kwa kawaida hutokana na maambukizi. |
|
Aliandika mengi pamoja na tamthiliya, shairi na maigizo. | speaker_14 | aliandika mengi pamoja na tamthiliya, shairi na maigizo. |
|
Kata ina kanisa kubwa la Katoliki la Mt. | speaker_14 | kata ina kanisa kubwa la katoliki la mt. |
|
Amepata kutambuliwa kote Afrika na Amerika. | speaker_14 | amepata kutambuliwa kote afrika na amerika. |
|
Ni mji mkubwa wa pekee nchini. | speaker_14 | ni mji mkubwa wa pekee nchini. |
|
Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama watakatifu. | speaker_14 | tangu kale wanaheshimiwa na kanisa katoliki na waorthodoksi kama watakatifu. |
|
Tafsiri ya jina hilo ni "Hadhi ya Binadamu". | speaker_14 | tafsiri ya jina hilo ni "hadhi ya binadamu". |
|
Alipokuwa kijana alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu. | speaker_14 | alipokuwa kijana alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu. |
|
Imekuwa kitovu cha uchumi, utamaduni na michezo. | speaker_14 | imekuwa kitovu cha uchumi, utamaduni na michezo. |
|
Jina linatokana na lile la mto Mara. | speaker_14 | jina linatokana na lile la mto mara. |
|
Ndiyo asili ya jina. | speaker_14 | ndiyo asili ya jina. |
|
Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. | speaker_14 | hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. |
|
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake | speaker_14 | sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake |
|
Kwa njia ya Kristo Bwana wetu. | speaker_14 | kwa njia ya kristo bwana wetu. |
|
Leo hii kuna takriban watu nusu milioni kisiwani. | speaker_14 | leo hii kuna takriban watu nusu milioni kisiwani. |
|
Bafur mahali pa majina na mila ya jangwa juu ya Bafur kuishi, lakini kidogo. | speaker_14 | bafur mahali pa majina na mila ya jangwa juu ya bafur kuishi, lakini kidogo. |
|
Kulikuwa na juhudi kubwa kutoa huduma mbadala mtandaoni. | speaker_14 | kulikuwa na juhudi kubwa kutoa huduma mbadala mtandaoni. |
|
Aliwahi kuwa Makamu wa Rais na alifariki akiwa Waziri wa Usalama wa Ndani. | speaker_14 | aliwahi kuwa makamu wa rais na alifariki akiwa waziri wa usalama wa ndani. |
|
Wakati mwingine Bulgaria huhesabiwa hapa pia. | speaker_14 | wakati mwingine bulgaria huhesabiwa hapa pia. |
|
Pia aliteuliwa kama waziri msaidizi wa kazi za umma. | speaker_14 | pia aliteuliwa kama waziri msaidizi wa kazi za umma. |
|
Maana ya Jumamosi, Jumapili nakadhalika. | speaker_14 | maana ya jumamosi, jumapili nakadhalika. |
|
Aliandika kwa lugha ya Kilatini. | speaker_14 | aliandika kwa lugha ya kilatini. |
|
Petro huko Vatikano, moja ni ya kwake. | speaker_14 | petro huko vatikano, moja ni ya kwake. |
|
Kuwa makini na maneno yako. | speaker_14 | kuwa makini na maneno yako. |
|
Chakula kikuu ni ndizi. | speaker_14 | chakula kikuu ni ndizi. |
|
Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigadaba-Mudhili iko katika kundi la Kiparji-Gadaba. | speaker_14 | kufuatana na uainishaji wa lugha, kigadaba-mudhili iko katika kundi la kiparji-gadaba. |
|
Kanisa hilo lina pia jimbo la Mt. | speaker_14 | kanisa hilo lina pia jimbo la mt. |
|
Madhara ya jumla ya kiuchumi ya mabadiliko ya hali ya anga hayana uhakika. | speaker_14 | madhara ya jumla ya kiuchumi ya mabadiliko ya hali ya anga hayana uhakika. |
|
Kinyume chake ni usiku kati. | speaker_14 | kinyume chake ni usiku kati. |
|
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. | speaker_14 | anaheshimiwa na kanisa katoliki na waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. |
|
shikamoo mama wangu | speaker_14 | shikamoo mama wangu |
|
Yeye pia ni mtangazaji wa runinga. | speaker_14 | yeye pia ni mtangazaji wa runinga. |
|
Inapatikana kwa wingi maana ni sehemu kubwa ya ganda la Dunia. | speaker_14 | inapatikana kwa wingi maana ni sehemu kubwa ya ganda la dunia. |
|
Iko kwenye sehemu ya barani ya wilaya ya Lamu. | speaker_14 | iko kwenye sehemu ya barani ya wilaya ya lamu. |
|
Hata hivyo, ni ghali, na inahitaji maabara maalumu. | speaker_14 | hata hivyo, ni ghali, na inahitaji maabara maalumu. |
|
Mbegu hutumika kama chakula cha kuku. | speaker_14 | mbegu hutumika kama chakula cha kuku. |
|
Alikuwa muhimu kwa harakati za haki za kiraia. | speaker_14 | alikuwa muhimu kwa harakati za haki za kiraia. |
|
Baba yake alikua mwanasiasa. | speaker_14 | baba yake alikua mwanasiasa. |
|
Video pia iliyotolewa, katika rekodi sawa na toleo la Marekani. | speaker_14 | video pia iliyotolewa, katika rekodi sawa na toleo la marekani. |
|
Eneo la ziwa ni kavu sana na maji yake ni ya magadi. | speaker_14 | eneo la ziwa ni kavu sana na maji yake ni ya magadi. |
|
Waliobaki ni Wakristo, Wayahudi, Wahindu au hawana dini yote. | speaker_14 | waliobaki ni wakristo, wayahudi, wahindu au hawana dini yote. |
|
Lengo ni kuondoa maumivu, au kufanya kwenda kwenye usingizi mzito kabisa wakati wa upasuaji. | speaker_14 | lengo ni kuondoa maumivu, au kufanya kwenda kwenye usingizi mzito kabisa wakati wa upasuaji. |
|
Hapo baba yake akawa askofu mahali pake. | speaker_14 | hapo baba yake akawa askofu mahali pake. |
|
Yohane wa Yerusalemu. | speaker_14 | yohane wa yerusalemu. |
|
Alijiunga na Chuo Kikuu cha Mt. | speaker_14 | alijiunga na chuo kikuu cha mt. |
|
Wasemaji wote ni wazee lakini, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. | speaker_14 | wasemaji wote ni wazee lakini, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. |
|
ni askofu mkuu wa jimbo kuu la Kanisa Katoliki la Dar es Salaam, Tanzania. | speaker_14 | ni askofu mkuu wa jimbo kuu la kanisa katoliki la dar es salaam, tanzania. |
|
Tangu mwaka huo hadi kifo chake alikuwa askofu wa Jimbo la Tanga. | speaker_14 | tangu mwaka huo hadi kifo chake alikuwa askofu wa jimbo la tanga. |
|
Uholanzi karne za nyuma ilikuwa na Afrika Kusini. | speaker_14 | uholanzi karne za nyuma ilikuwa na afrika kusini. |
|
Tangu wakati huo, tovuti na ardhi ya eneo hilo havijatumika tena kabisa. | speaker_14 | tangu wakati huo, tovuti na ardhi ya eneo hilo havijatumika tena kabisa. |
|
Viwanda vingi hufanya mabadiliko madogo katika hatua hizi za mradi. | speaker_14 | viwanda vingi hufanya mabadiliko madogo katika hatua hizi za mradi. |
|
Tena ni programu ya kompyuta. | speaker_14 | tena ni programu ya kompyuta. |
End of preview. Expand
in Data Studio
README.md exists but content is empty.
- Downloads last month
- 7