keystats/kiswahili_sahihi_asr_adapted_3
Automatic Speech Recognition
•
Updated
•
73
audio
audioduration (s) 1.19
10.7
| transcript
stringlengths 4
4.02k
|
|---|---|
Aliweza kufanya kazi ya kukitangaza hicho kipindi mpaka mwaka elfu mbili na tisa
|
|
Wameanza kutoa vibali kwa kutumia mfumo wa kielektroniki
|
|
Yakaunganisha na kupata neno moja lenye maana ya Tanzania
|
|
Wengi wakiamini kuwa ukatili anaotuhumiwa kuufanya zilikuwa ni propaganda za kumchafua
|
|
Baadhi ni metali, kama dhahabu au chuma.
|
|
Mipaka mingine ni ya Ghuba ya Uajemi Kisiwa cha Bahrain kiko karibu
|
|
Umuhimu wake katika historia unatokana na kwamba mwaka wa elfu moja mia nane arobaini
|
|
thomas muller alifunga mabao matano akiwa kwenye michuano hiyo
|
|
Ndiwe chanzo cha zahama, umewaitia vikwazo,
|
|
Awapo uwanjani haimaanishi ana majukumu fulani pekee
|
|
pango hilo limebeba historia ya shujaa wa kabila la wahehe
|
|
Wakili wa Kibelgiji akathibitisha kwamba Lumumba amesharejesha zile fedha
|
|
kupigania hali ya demokrasia nchini tunisia
|
|
huduma ya afya haijaelimishwa na elimu hii haijawafikia vizuri watu
|
|
Mei mwaka elfu mbili na kumi na tisa aliishinda tuzo ya mchezaji bora Ubelgiji
|
|
Awali wengi walimwogopa kwa sababu ya heshima yao kwake
|
|
Kwa mfano Kivunjo kinafanana na Kioldimoshi
|
|
Kutoa Msaada wa Kiroho na Kisaikososholojia kwa Watu walio
|
|
unaweza kujaribu miundo mbalimbali ya kutangaza maudhui yako
|
|
Kamerun ilikuwa koloni la Ujerumani hadi Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia.
|
|
Aliposhambuliwa alijitahidi kutetea msimamo wake huo
|
|
siku hizi kama hapa drc huwa
|
|
haraka na sio sahihi hawana maana kabisa ya wakati
|
|
Kesho tutaenda kazini mapema.
|
|
Waliona mama.
|
|
Mame andanena mara nyingine chukichokosa isii chunchilie munyu kathithi
|
|
Kuna jumla ya makabila thelathini yanayodai kujitegemea Wasangu
|
|
hadi tarehe kumi na tisa mwezi wa nane mwaka elfu mbili na kumi tatu
|
|
Ilikuwa na mahitaji makubwa ya wanyama aina ya tembo
|
|
ukimwi unasababisha upungufu wa kipato Katika kiwango cha familia
|
|
Mwaka jana shirika la FlipoFlopi liliongozwa na Bwana Ali Skanda
|
|
Mke wangu ambadilika sana, tabia zimebadilika, yaweza kuwa hata mavazi yake yamebadilika
|
|
ka miaka ya elfu moja mia tisa tisini na moja hadi elfu tisa mia
|
|
pepu yupo kwenye orodha ya makocha watano bora duniania
|
|
Mwisho wa mto mara nyingi huitwa mdomo
|
|
ujerumani walifikia mafanikio waliyokuwa nayo brazil na italia
|
|
richard alifanikiwa kumtazama baba yake vizuri
|
|
Bandari hutengenezwa kando ya bahari, maziwa au mito.
|
|
Watalii hupata nafasi ya kuona hatua za uandaaji wa kinywaji cha kahawa
|
|
Wakiongozwa na aliyekuwa kiogozi wa chama cha ukombozi wa Kenya Jommo Kenyatta
|
|
Baada ya vita alikuwa mkuu wa jeshi huko Kilwa.
|
|
Idadi ya watoto yatima Kutokana na Ukimwi ni milioni kumi na mbili
|
|
mengi chini ya Sultani wa Konstantinopoli Hilo dola
|
|
Ilikuwa koloni la Ufaransa halafu la Uingereza halafu la Uswidi halafu la Ufaransa tena.
|
|
tanzania inasifika kwa mbuga kubwa na maarufu za wanyama
|
|
Mamia ya watu walitupwa jela na kwenye kambi za kutumikisha kazi za sulba
|
|
Wavulana wengine ambao kesi zao huonekana kuwa maalumu
|
|
Komba na pongo bila kusahau Kimburu na Duma
|
|
Huyu ni mvamizi, Wamevamia vitu vyetu vya Mombasa vyote
|
|
Nilijikuta nashangaa baada ya kumuona ulikuwa wapii kwanii nilimuuliza
|
|
Taifa linatakiwa kuzungumza lugha moja kwenye vita ya uchumi
|
|
na tabia ya kumwita kila mtu mwanangu ingawa yeye mwenyewe hakubahatika kupata mtoto Katika
|
|
Kwa upande wa ziwa Nyasa limezigusa nchi za Tanzania na Malawi bila kuisahau Msumbiji
|
|
Ambapo sehemu nyingi hupatikana huduma za malazi na vyakula
|
|
Machozi na vilio vilitanda nchi mzima
|
|
asante sana na mimi natakiwa nijibu aifaithina
|
|
Mji huu unatarajiwa kuingizwa katika orodha ya Urithi wa Dunia
|
|
Mataifa ya ushirikiano yalikaribia mipaka ya Ujerumani
|
|
Lakini kwenye simu hizi ni lazima kutumia pia namba ya mtandao muda wote.
|
|
Jina hili la bagamoyo zamani lilikuwa linaitwa Bwagamoyo
|
|
Kichwa kimekusumbua.
|
|
Kuwa peku ni kitendo Cha kutembea bila kuvaa viatu miguuni
|
|
Payn pia alifanya kazi ya filamu.
|
|
Ni biashara iliyokuwa inafanywa katika maeneo ya bara na pwani ya afrika kwa ujumla
|
|
milima ya Andes tambarere za mto Orinoko katikati ya
|
|
Serikali itahakikisha kwamba kila senti inayoongezeka inatumika vyema
|
|
kutokea katika stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi
|
|
Anaheshimiwa na madhehebu mengi ya Ukristo kama mtakatifu.
|
|
Hii sio mara ya kwanza kwa Diamond kufanya kazi Kenya.
|
|
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.
|
|
lugha ambayo huzaliwa kutokana na kukutanika kwa
|
|
Wachaga wana historia ndefu ya asili yao na ya maingiliano yao na makabila mengine
|
|
Mwendesha mashtaka wa kijeshi ,Joseph Makelele aliiambia mahakama
|
|
kumi akigombea kwa Chama cha mapinduziTarehe kumi na tisa mwezi wa kumi na
|
|
Mtoto huyu alizaliwa mwaka jana
|
|
nguo za pamba katika miaka ya elfu moja mia tisa sitini Sabini na moja
|
|
Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Wales.
|
|
Mlima umekuwa sehemu ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani
|
|
Mpanda ngazi hushuka
|
|
Wana watoto mapacha.
|
|
Masomo hayawezi kunilemea
|
|
Musoma Vijjini Musoma Mjini Bunda na Serengati hao ndio Wakurya wa kusini Mara
|
|
Waliitumia pia Bandari ya Mombasa katika eneo la Kenya
|
|
Wakati wa msafara waligawanyika makundi matatu
|
|
na na nana na familia
|
|
benki kuu inaagiza fedha kukidhi mahitaji ya fedha nchini
|
|
fukwe za kisiwa hiki ni miongoni mwa makazi ya pongo na nzohe
|
|
umoja huo unasaidia nchi wanachama kufanya biashara vizuri
|
|
hiyoPombe na matumizi mabaya ya madawa ya kulevya pia ni ya
|
|
bunge ni moja kati ya mihimili mikuu ya taifa la tanzania
|
|
Mmoja wa marubani waliotumika kujaribu kulilipua daraja hilo ni Meja John Amunga
|
|
na wenzake Hata ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwapo wote mahali
|
|
Ndipo pamoja na shirika la afya na wadau wengine Serikali ikafanya yafuatayo
|
|
malkia Kandake wa Kushi katika mji mkuu wa Meroe Agano Jipya
|
|
Mfumuko wa Bei Nchini Uganda
|
|
ilikutoa nafasi kwa wananchi wengi kujitokeza
|
|
Nimeishi hadi amerejea Ghana huku akiwa na masikitiko makubwa moyono mwake
|
|
Haina milima mirefu.
|
|
Mugabe alijaribu kutunisha misuli kilichomkuta wazimbabwe hawakuchoka kumuona hafai
|
|
Kake apaliya mpunga
|