English sentence
stringlengths 1
1.37k
⌀ | Swahili Translation
stringlengths 1
1.21k
⌀ |
---|---|
A captain controls his ship and its crew. | Nahodha hudhibiti meli na wafanyakazi wake. |
The former captain was superior to the present one. | Nahodha wa zamani alikuwa bora kuliko huyu wa sasa. |
I haven't seen Karen since we fell out last month. | Sijamwona Karen tangu tuachane mwezi uliopita. |
After the initial shock of hearing of her grandfather's death, the girl started to cry. | Baada ya mshtuko wa kwanza kwa habari ya kifo cha babu yake, msichana huyo alianza kulia. |
Thank you for sending me a nice card. | Asante kwa kunitumia kadi nzuri. |
Don't punish him for breaking the window. He is not to blame. | Usimuadhibu kwa kuvunja dirisha. Yeye sio wa kulaumiwa. |
Would you mind if I shut the window? I have a slight cold. | Je, utajari Kama nitafunga dirisha? Nina baridi sana. |
To no one's surprise, loud noise has been proven to affect one's sense of hearing. | Kwa mshangao, kelele kubwa imethibitishwa kuwa inaathiri hisia za kusikia. |
A card was attached to the gift. | Kadi iliambatanishwa kwenye zawadi. |
A fast walker can walk six kilometers in an hour. | Mtu anayetembea haraka anaweza kutembea umbali wa kilomita sita kwa saa. |
Watch your step, or you will slip and fall. | Tazama hatua yako, au utateleza na kuanguka. |
Solar energy may be able to play a significant role in our daily life. | Nishati ya jua inaweza kutekeleza jukumu muhimu katika maisha yetu ya kila siku. |
The sun sends out an incredible amount of heat and light. | Jua hutoa kiasi kikubwa cha joto na mwangaza. |
I injured myself during the physical education lesson. | Nilijeruhiwa wakati wa somo la mazoezi ya mwili. |
They wanted to negotiate the contract on equal terms. | Walitaka kujadili mkataba kwa masharti sawa. |
The captain gave orders for a salute to be fired. | Kapteni aliamuru saluti ipigwe. |
Men of the rank of captain and below live in this building. | Wanaume wenye cheo cha unahodha na chini yake, wanaishi katika jengo hili. |
Whoever the representative is from their division, treat him well. | Yeyote anayewakilisha kutoka kwa kitengo chao, mshughulikie vizuri. |
College students should study hard, but equally they should also make time for an active social life. | Wanafunzi wa vyuo vikuu wanapaswa kusoma kwa bidii, lakini pia kwa usawa wanapaswa kupata wakati wa maisha ya kijamii. |
The president shall be selected by majority vote. | Rais atachaguliwa kwa kura ya wengi. |
The huge waves upset their boat. | Mawimbi makubwa yanasumbua mashua yao. |
I got a big pay raise. | Nilipata nyongeza mkubwa wa mshahara. |
Tall trees catch much wind. | Miti mirefu hushika upepo mwingi. |
The entire theater turned to chaos when somebody cried "Fire!". | Thieta yote iligeuka mtu alipolia "Moto!". |
Two of my books have been taken. | Viwili kati ya vitabu vyangu vimechukuliwa. |
I hope that some scientist will soon discover a cure for AIDS. | Natumai kuwa mwanasayansi fulani atagundua tiba ya UKIMWI hivi karibuni. |
No one called my attention to it. | Hakuna aliyeshighulikia swala langu. |
On warm days, bears stretch out or lie on their backs with their feet in the air. | Katika siku za joto, wazazi hutawilisha au hulalia migongo yao na miguu yao huweka hewani. |
Each boy student has a school badge on his cap. | Kila mwanafunzi wa kiume ana beji ya shule kwenye kofia yake. |
It is true of American society that the male is the head of the household. | Ni kweli kwamba katika jamii ya Marekani, mume ndiye mkubwa wa nyumba. |
The men are smiling on cue. | Wanaume wanatabasamu wanapozinduliwa. |
There is a shopping district underground. | Kuna eneo la ununuzi kwenye ghorofa ya chini. |
The tourists as well as local people come to the square for shopping. | Watalii na pia watu wa eneo hilo huja kwenye mraba kwa ununuzi. |
Hours lost on the ground cancel out the advantage of speed in the air. | Masaa yaliyopotezwa kwenye ardhi yanawiana na faida ya kasi hewani. |
Indicate size, color, and style on the order form. | Onyesha ukubwa, rangi na mtindo kwa fomu ya kuagiza. |
The long cruel winter at last came to an end, giving place to a gentle warm spring. | Msimu mrefu wa baridi kali mwishoni ulikamilika, na msimu wa chemchemi ukaja na joto. |
The pain shoots into my right leg. | Maumivu yananidunga kwa mguu wangu wa kulia. |
You can go out and play as long as you stay in the yard. | Unaweza kwenda nje na kucheza maadamu hutoki nje ya ua. |
The hostile army began to attack. | Jeshi adui lilianza kushambulia. |
The Emperor prayed for the souls of the deceased. | Kaisari aliombea roho za waliofariki. |
On the way out I said to my waitress, "Be careful, Sue. There's something funny about the glasses you gave me - they're filled in on the top, and there's a hole on the bottom!" | Nikiwa njiani kutoka nikamwambia mhudumu wangu, "Kuwa mwangalifu, Sue. Kuna kitu cha kuchekesha kuhusu glasi ulionipa - zimejazwa juu, na kuna shimo chini! " |
By tradition, people play practical jokes on 1 April. | Kama mazoea, watu hufanya utani tarehe 1 Aprili. |
The invention of the telephone caused a revolution in our way of living. | Uvumbuzi wa simu ulisababisha mapinduzi katika njia yetu ya kuishi. |
I wish people would stop throwing away empty cans and other trash along the path up the mountain. | Natamani watu wangeacha kutupa mikebe mitupu na takataka zingine njiani kwenda mlimani. |
The angry crowd threw missiles at the police. | Umati wenye hasira uliwatupia makombora polisi. |
We're running short of fuel for the winter. | Tutakosa mafuta kwa msimu wa baridi. |
Ice covers the lake during the winter. | Barafu hufunika ziwa wakati wa msimu wa baridi. |
Tokyo is surrounded by many satellite cities. | Tokyo imezungukwa na miji mingi ya satelaiti. |
The authorities have been hiding the facts from the public. | Mamlaka yamekuwa yakificha ukweli kutoka kwa umma. |
Television sets began to appear house by house at that time. | Runinga zilianza kuonekana nyumba kwa nyumba wakati huo. |
We sell goods on commission. | Tunauza bidhaa kwa mafao. |
Having a cracking headache, I went to bed earlier than usual. | Kuumwa sana na kichwa, kulifanya niende kulala mapema zaidi. |
With the world turning circles running round my brain. | Pamoja na ulimwengu kugeuza mizunguko kuzunguka ubongo wangu. |
Animal bodies are made up of cells. | Miili ya wanyama imeundwa na seli. |
You can't be at two places at once. | Hauwezi kuwa katika sehemu mbili mara moja. |
The company has decided to sell some of its money-losing units. | Kampuni imeamua kuuza baadhi ya vitengo vyake vinavyoleta hasara. |
I will mentally return to childhood and do it all over again. | Nitarudi kiakili utotoni na kuifanya tena. |
Losing the way, he chose the road at random. | Alipopoteza njia, alichagua barabara kwa bahati nasibu. |
Special services include a personal driver for each guest. | Huduma maalum inajumuisha dereva wa kibinafsi kwa kila mgeni. |
Persons with special skills can easily get jobs. | Watu walio na stadi maalum wanaweza kupata kazi kwa urahisi. |
Except in special circumstances, anyone is allowed to enter the building. | Isipokuwa katika hali maalum, mtu yeyote anaruhusiwa kuingia ndani ya jengo. |
By special arrangement we were allowed to enter the building. | Tuliruhusiwa kuingia ndani ya jengo hilo kwa mpangilio maalum. |
Take any books that you want to read. | Chagua vitabu vyovyoye unavihitaji kusoma. |
When suddenly faced with a dangerous situation, hold your horses - make sure of the proper action, then act. | Ukikabiliwa na hali ya hatari kwa ghafla, kaa kimya - hakikisha hatua sahihi, kisha chukua hatua. |
All of a sudden, the door shut with a bang. | Ghafla, mlango ulifungwa kwa mpigo. |
A sudden crack of thunder broke his sleep. | Mlio mkubwa wa radi ulimtoa usingizini. |
In the Southern region, sales were up 47 percent. | Katika kanda ya Kusini, mauzo yalikuwa asilimia 47. |
The nun prayed and crossed herself. | Mtawa aliomba kisha akafanya ishara ya msalaba. |
Flesh gives birth to flesh, Spirit gives birth to Spirit. | Mwili huzaa mwili, Roho huzaa Roho. |
Japan's foreign direct investment reached $10 billion last year. | Uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni wa Japan ulifikia dola bilioni 10 mwaka jana. |
Japan's money power has a global reach now. | Nguvu ya pesa ya Japan ina ufikiaji wa ulimwengu sasa. |
Japan is expected to play a greater role in international society. | Japan inatarajiwa kuchukua jukumu kubwa katika jamii ya kimataifa. |
Japan stood with the United States at the U. N. Assembly. | Japan ilisimama na Merika katika Mkutano wa U. N. |
Japan must depend on foreign trade to make ends meet. | Japan lazima itegemee biashara ya nje kujipatia mapato. |
Japan needed contact with the Western countries. | Japan ilihitaji mawasiliano na nchi za Magharibi. |
Japan depends on foreign countries for oil. | Japan inategemea nchi za kigeni kwa mafuta. |
Japan achieved a remarkable development in industrial technology after the war. | Japan ilipata maendeleo makubwa katika teknolojia ya viwanda baada ya vita. |
One of the important differences between Japanese and Americans is that Japanese tend to choose a safe course in life, while Americans choose to explore and challenge life. | Tofauti mojawapo kati ya Wajapani na Wamarekani ni kwamba Wajapani huchagua njia salama maishani, huku Wamarekani huchagua kupambana na changamoto za maisha. |
The Japanese tend to identify themselves with the group they belong to. | Wajapani hujitambulisha na kundi ambalo wao ni wanachama. |
When the cat's away, the mice do play. | Wakati paka ni mbali, panya hucheza. |
Writing new year's cards is a Japanese institution. | Kuandika kadi za mwaka mpya ni desturi ya Kijapani. |
While a brain operation is being performed, both doctors and nurses must handle the patient with kid gloves and yet with all speed practical. | Wakati wa kufanya upasuaji wa ubongo, madaktari na wauguzi lazima wamhudumie mgongwa wakiwa na glavu ingawa kwa haraka inayowezekana. |
Wide is the gate and broad is the way that leads to destruction. | Mlango mpana na mkubwa ni njia ambayo huelekea kwenye maangamizo. |
As I checked your delivery that I received, I found it included a T-shirt which I did not order. | Nilipotazama mzigo ulionilitea, niligundua kuna fulana ambayo sikuagiza. |
The judge was exhausted from the nervous strain. | Jaji alikuwa amechoka kutokana na tatizo la neva. |
The criminal robbed the landlord of a hundred thousand dollars and ran away. | Mhalifu alimuibia mpangishaji nyumba dola mia elfu kisha akakimbia. |
Isn't he gorgeous? - So tall and smart-looking. | Je, yeye si mtanashati? Ni mrefu sana na ana mwonekano mzuri. |
He is Mr Brown, chairman of the committee. | Yeye ni Bwana Bown, mwenyekiti wa kamati. |
What was his motive for setting the house on fire? | Kusudi lake lilikuwa nini kuwasha moto kwenye nyumba? |
The moment he touched it, it blew up. | Wakati alipoiguza, ilipasuka. |
He can't have solved it. | Hangeweza kutatua. |
I'll wait here till he comes back. | Nitamsubiri mpaka arudi. |
It never occurred to me that he might insist on treating me to dinner. | Haijawahi kunitokea kwamba anaweza kusisitiza kuninunulia chajio. |
He writes a daily journal, and that inspired me to try doing the same thing, but in English. | Anaandika shajara, na hiyo imenitia moyo kujaribu kufanya hivyo, lakini kwa Kiingereza. |
He has no sympathy for single parent families. | Hana huruma kwa familia za mzazi mmoja. |
I would be grateful if you could give him some information on local conditions. | Ningefurahi ikiwa unaweza kumpa habari kadhaa kuhusu hali za kawaida. |
His alibi is above suspicion. | Dai lake limezidi tuhuma. |
Such conduct on his part gave rise to her parents' suspicion. | Tabia kama hiyo upande wake ilisababisha tuhuma za wazazi wake. |
His behavior is always honorable. | Tabia yake ni ya kuheshimika siku zote. |
His recovery was nothing short of a miracle. | Kupona kwake, kulikuwa kwa miujiza sana. |
Subsets and Splits