English sentence
stringlengths 1
1.37k
⌀ | Swahili Translation
stringlengths 1
1.21k
⌀ |
|---|---|
Most funny stories are based on comic situations.
|
Hadithi nyingi za kuchekesha zimeundwa kutokana na hali za ucheshi.
|
The man who nearly drowned began to breathe.
|
Mwanaume ambaye karibu azame alianza kupumua.
|
The opera starts at seven.
|
Opera unaanza saa saba.
|
The frightened boy's voice was shaking with terror.
|
Sauti ya mtoto wa kiume aliyeogopa ilitetema kwa hofu.
|
What a feast we had when we visited my aunt!
|
Tulipomtembelea shangazi tulifurahia karamu nzuri sana.
|
My grandma injured her leg in a fall.
|
Nyanya yangu alijeruhi mguu wake alipoanguka.
|
Excuse me but, would you kindly lift that box for me?
|
Samahani, unaweza kuniinulia sanduku tafadhali?
|
My uncle retired from teaching last year, but he still managed to hang onto a position at the university.
|
Mjomba wangu alistaafu kutoka kuwa mwalimu mwaka jana, lakini bado anshikilia cheo katika chuo kikuu.
|
Amy worked in the yard last Saturday.
|
Amy alifanyakazi uwanjani Jumamosi iliyopita.
|
That looks like the kind of guy who'd buy me lots of designer goods tee-hee-hee.
|
Hiyo inaonekana kama aina ya mtu ambaye angenunulia bidhaa nyingi za wabunifu tee-hee-hee.
|
He's in the money.
|
Yuko ndani ya pesa.
|
Mr Wood has his secretary type his letters.
|
Katibu wa Bw. Wood alimwandikia barua zake.
|
Mr Wood came to the door and spoke to Tony's mother.
|
Bwana Wood alifika mlangoni na kuzungumza na mama ya Tony.
|
In India, the cow is a sacred animal.
|
Huko India, ng'ombe ni mnyama takatifu.
|
The Internet is very useful for knowing the circumstances of each part of the world.
|
Intanet inasaidia sana watu kujua mazingira ya kila sehemu ya dunia.
|
I'm so sorry about what I did. I wish I could just crawl into a hole and die.
|
Samahani sana kwa kile nilichofanya. Natamani hata nianguke kwenye shimo na kufa kabisa.
|
What a glorious fall day. This is what they mean by the lovely weather you get after a storm.
|
Siku njema iliyoje. Hii ndio maana ya hali ya hewa nzuri unayopata baada ya dhoruba.
|
When shall I come for you?
|
Ni wakati upi mwafaka wa kukuchukua?
|
Just wandering around can be a good way to travel.
|
Kuzunguka tu inaweza kuwa njia nzuri ya kusafiri.
|
No country should interfere in another country's internal affairs.
|
Hakuna nchi inapaswa kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine.
|
We have good news.
|
Tuna habari nzuri.
|
No, please dial nine first.
|
Hapana, tafadhali bonyeza tisa kwanza.
|
Anne accepted Henry's proposal.
|
Anne amekubali ombi la Henry.
|
I think Ann loves Jack.
|
Nadhani Ann anampenda Jack.
|
One Sunday morning George burst into the living room and said the following.
|
Jumapili moja asubuhi George aliingia sebuleni na kusema yafuatayo.
|
One day Mike and Jane went downtown to do some shopping.
|
Siku moja Mike na Jane walikwenda jijini kwa ununuzi.
|
A woman lost her driver's license while she was shopping the other day at a department store.
|
Mwanamke alipoteza leseni yake ya udereva alipokuwa akinunua bidhaa juzi kwenye duka la idara.
|
Albert is engaged in foreign trade and often goes abroad.
|
Albert anajihusisha na biashara ya nje na mara nyingi huenda nje ya nchi.
|
Americans pay both federal taxes and state taxes.
|
Wamarekani wanalipa ushuru wa jimbo na serikali.
|
The United States seems to have got caught up in the troubles between the three nations in Asia.
|
Amerika inaonekana kuwa ilikumbana na shida kati ya mataifa matatu huko Asia.
|
In American football the defense has a specific job.
|
Katika soka la Amerika ulinzi una kazi fulani.
|
In the justice system of the United States, there are twelve people on a jury.
|
Katika mfumo wa haki wa Amerika, kuna watu kumi na wawili kwenye benchi.
|
In the United States it is popular for girls to learn to skip rope.
|
Huko Amerika ni maarufu kwa wasichana kujifunza kuruka kamba.
|
While some private and church schools in America have uniforms, they are not common.
|
Wakati shule zingine za kibinafsi na za kanisa huko Amerika zina sare, sio kawaida.
|
She was the last person I expected to meet that day.
|
Alikuwa ni mtu wa mwisho nilitarajia kumwona leo.
|
That store sells a wide range of goods.
|
Duka hilo huuza bidhaa kadhaa.
|
That store sells many things besides furniture.
|
Duka hilo huuza vitu vingi zaidi ya fanicha.
|
That building whose roof is brown is a church.
|
Jengo ambalo paa lake ni kahawia ni kanisa.
|
Look at those black clouds.
|
Tazama mawingu yale meusi.
|
That theater has a foreign film festival every other month.
|
Kwamba thieta ina tamasha ya filamu ya kigeni kila mwezi.
|
They are putting P on at that theater.
|
Wanawasha P kwenye thieta.
|
Men's suits are on sale this week at that department store.
|
Suti za wanaume zinauzwa wiki hii katika duka hilo la idara.
|
That salesman looks pretty smart.
|
Mtu huyo wa mauzo anaonekana mzuri sana.
|
That commercial makes a strong impression - especially the music. It stays in your head.
|
Matangazo hayp ya biashara huleta hisia kali - hasusna muziki. Inakaa kichwani mwako.
|
Do you know who that tall blonde girl in green is?
|
Je, unajua msichana huyo mrembo aliye na rangi ya hudhurungi na nguo ya kibichi ni nani?
|
The relationships among those five people are complicated.
|
Mauhusiano kati ya hao watu watano ni magumu.
|
Did you go to Ming's party last Saturday?
|
Je, ulienda kwa tafrija ya Ming Jumamosi?
|
You've never been to Paris?
|
Hujawahi kwenda Pari?
|
Your shipment should be delivered within twenty four hours.
|
Mizigo yako inapaswa kufika ndani ya masaa ishirini na nne.
|
You can't imagine it, can you?
|
Hauwezi kufikiria, unaweza?
|
If you act like a fool, you must be treated as such.
|
Ikiwa unatenda kama mjinga, lazima uchukuliwe kama vile.
|
Mr Adams was foolish to agree to the proposal.
|
Bwana Adams alikuwa mjinga kukubali lile pendekezo.
|
I make a special point of avoiding that shop.
|
Ninafanya juhudi ili nilihepe duka lile.
|
Ireland and England are separated by the sea.
|
Ailandi na Uiengereza zimetenganishwa na bahari.
|
Ouch! My foot!
|
Ouch! Mguu wangu!
|
Oh, the toast is burned black.
|
Oh, tosti umechomeka kuwa nyeusi.
|
Can you absolutely assure delivery by August 15?
|
Je, unaweza kuwahakikishia utoaji kufikia Agosti 15?
|
Thank you for your letter of July 25 and the fabric sample.
|
Asante kwa barua yako ya Julai 25 na mfano wa kitambaa.
|
After six hours' climbing, we finally succeeded in reaching the top of the mountain.
|
Baada ya kupanda kwa takribani masaa sita, hatimaye tulifanikiwa kufikia kilele cha mlima.
|
My airport shuttle bus leaves at six o'clock.
|
Basi langu kutoka uwanjani wa ndege linaondoka saa kumi na mbili.
|
The third star belonged to a certain king.
|
Nyota ya tatu ilikuwa ya mfalme fulani.
|
March comes between February and April.
|
Mwezi wa Machi upo kati ya Februari na Aprili.
|
The path between the two houses was blocked by snow.
|
Upenyo uliokuwepo Kati ya nyumba mbili uliharibiwa na barafu.
|
We have two spare rooms upstairs, neither of which has been used for years.
|
Tunayo vyumba viwili vya akiba, lakini hakuna kati hivo viwili hakuna kilichotumiwa kwa miaka.
|
Sum up the passage within 200 words.
|
Fupisha kifungu hiki kwa maneno yasiyozidi 200.
|
We'll release the final agenda on the morning of Monday, January 20, so please reply quickly.
|
Tutatoa ajenda ya mwisho asubuhi ya Jumatatu, Januari 20, kwa hivyo tafadhali jibu haraka.
|
A dollar is equal to a hundred cents.
|
Dola ni sawa na senti mia.
|
During the Depression in the 1930's, many wealthy people lost everything in the stock market crash.
|
Wakati wa Unyogovu miaka ya 1930, watu wengi matajiri walipoteza kila kitu kwenye soko la hisa.
|
In 1860, Lincoln was elected President of the United States.
|
Mnamo 1860, Lincoln alichaguliwa kuwa Rais wa Amerika.
|
In 1853, Perry asked Japan to open the door to America.
|
Mwaka wa 1853, Perry aliuliza Japan ifungulie Marekani mlango.
|
In 1603, when King James I came into power, football was allowed again.
|
Mwaka 1603, Mfalme James wa kwanza alipoingia madarakani, mpira wa miguu uliruhusiwa tena.
|
We must leave the hotel before 10 a.m., otherwise we will miss the train for Miami.
|
Lazima tuondoke hotelini kabla ya saa 10 asubuhi, vinginevyo tutakosa treni ya Miami.
|
The fog began to disappear around ten o'clock.
|
Ukungu ulianza kutoweka karibu saa kumi.
|
Can you lend me a dime?
|
Je, unaweza kuniazima senti kumi?
|
The words 'beautiful' and 'ugly' are relative terms.
|
Maneno 'mrembo' na 'mbaya' ni maneno ya kawaida.
|
"How are you feeling this morning?" "Pretty good, thanks."
|
Habari yako leo? Vizuri! Asante.
|
What are you referring to by "relationship"?
|
Unamaanisha nini ukisema "uhusiano"?
|
You're taking on the company style.
|
Sasa umeanza kujizoesha mienendo ya kampuni.
|
By signing the contract, I committed myself to working there for another five years.
|
Kwa kusaini mkataba, nilijitolea kufanya kazi huko kwa miaka mingine mitano.
|
Thank you for the draft of the Agreement.
|
Asante kwa huu mswada wa makubaliano.
|
The police are investigating the cause of the crash around the clock.
|
Polisi wanachunguza sababu ya ajali hiyo saa nzima.
|
The police broke up the fight.
|
Polisi walivunja mapigano.
|
The police are looking into the cause of the accident.
|
Polisi wanachunguza kisababishi cha ajali.
|
At the theater, Kathy changed seats with her mother.
|
Katika ukumbi, Kathy alibadilisha viti na mamake.
|
Shot, huh?
|
Piga, huh?
|
He is by no means a pleasant fellow to associate with.
|
Yeye si mtu mzuri wa kushirikiana naye.
|
The gold cup was given to the winner of the final match.
|
Kikombe cha dhahabu kilipewa mshindi wa mechi ya fainali.
|
Please accept this gift for the celebration on your wedding.
|
Tafadhali pokea zawadi hii ya kusherehekea harusi yako.
|
Patterns of married life are changing a lot.
|
Mifumo ya maisha ya ndoa inabadilika sana.
|
Health is an important factor of happiness.
|
Afya ni jambo muhimu kwa furaha.
|
I am not in the least afraid of dogs.
|
Mimi siko mmoja wa mbwa waoga.
|
The dog, seeing me beyond his reach, began barking.
|
Mbwa, alipokosa kunifikia, alianza kubweka.
|
The dog sat down by the man.
|
Mbwa akaketi karibu na mtu.
|
Training conditions workers to react quickly to an emergency.
|
Mafunzo huwafanya wafanyakazi kukabiliana na dharura haraka.
|
Silk feels soft.
|
Silika inahisi laini.
|
We can not be too careful in operating a nuclear power plant.
|
Hatuwezi kuwa waangalifu sana katika kuendesha kiwanda cha nguvu za nyuklia.
|
We currently have 200 well organized sales offices all over Japan.
|
Hivi sasa tuna ofisi 200 za mauzo zenye utaratibu mzuri kote nchini Japan.
|
Private charity is only a drop in the bucket.
|
Msaada wa kibinafsi ni mdogo mno.
|
Thank you for setting the record straight.
|
Asante kwa kulainisha mambo.
|
The operator told me to hang up and wait for a moment.
|
Muendeshaji huyo aliniambia ni kate simu nisubiri kidogo.
|
Subsets and Splits
Long Swahili Sentences
Retrieves 1,000 Swahili translations longer than 20 characters, providing a basic sample for further analysis.