instruction
stringclasses 2
values | inputs
stringlengths 10
277
| targets
stringclasses 3
values | task
stringclasses 1
value | data_source
stringclasses 2
values |
---|---|---|---|---|
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | mkubwa hasemwi mkubwa anaelekezwa | Wastani | sentiment | afrisenti |
Tafadhali tambua mawazo yaliyoonyeshwa kwenye matini haya kwa kutegemea miongozo ifuatayo: Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | kumbe sio serikali tu hadi wadau wengine wa maendeleo hawana imani na vijana | Hasi | sentiment | afrisenti |
null | taasisi zinahitaji kujiuliza zinataka page za mitandao ya kijamii ziwe kwa ajili gani unaweza kutumia mitandao ya kija | Wastani | sentiment | afrisenti |
Tafadhali tambua mawazo yaliyoonyeshwa kwenye matini haya kwa kutegemea miongozo ifuatayo: Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | ukiachana na ujingamaradhi na umasikini tuna wivuchuki na nyege sahivi lakini mimi nasisitiza vijana watumie kondomu wananiona kama nawaingilia maisha yaoyani hawana akili | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | wapendwa kuna opportunities nyingi sana kwenye haya mashirika hela za kuanzisha projects mpya au innovations zipo ila sa | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | wakuu naomba support mwa mtanzania mwenzetu aondoke na ushindi link chagua florinyahtanzania | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | nilijaribu mara ya kwanza wakanambia sitaweza nikajaribu mara ya pili wengi wakasema nacheza mara ya tatu marafiki wakanize | Wastani | sentiment | afrisenti |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | klopp kuifundisha liverpool kwa simu | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | utoaji wa mimba matumizi ya njia za kudhibiti mimba dawa za kulevya na mafarakano katika ndoa yametajwa kuwa baadhi ya matendo ambayo watu wanayashabikia bila kujua kuwa wanatenda dhambi | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
Tafadhali tambua mawazo yaliyoonyeshwa kwenye matini haya kwa kutegemea miongozo ifuatayo: Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | ndugu mteja hakuna mgao ni maboresho ya miundo mbinu tu tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza | Chanya | sentiment | swahili_tweet |
Tafadhali tambua mawazo yaliyoonyeshwa kwenye matini haya kwa kutegemea miongozo ifuatayo: Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | rc aagiza wanafunzi waliooana wakiwemo wazazi wao wakamatwe mkuu wa mkoa wa simiyu jana ameliagiza jeshi la polisi kwa kushirikiana na mkuu wa wilaya na vyombo vingine vya usalama | Hasi | sentiment | swahili_tweet |
null | anapenda kuvimba hatakama hana mia mfukoni | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
null | kila baada ya miaka 5 tunapata wabunge wapya na unakuta hawana uelewa wa kutosha katika sekta ya madinikwahiyo tunahitaji azaki ziendelee kutoa elimu na kufanya uchechemuzi sekta ya uziduaji jesca kishoa mjumbe kamati ya nishati na madini | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
Tafadhali tambua mawazo yaliyoonyeshwa kwenye matini haya kwa kutegemea miongozo ifuatayo: Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | haya mambo ya kupeana hela na zawadi kwenye mapenzi yana pande mbili wazeekama hutoi usitegemee kupokea | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | waziri katikati pamoja na naibu wake kushoto wakiwa na rc shinyanga zainabu tellack katika pi | Chanya | sentiment | afrisenti |
Tafadhali tambua mawazo yaliyoonyeshwa kwenye matini haya kwa kutegemea miongozo ifuatayo: Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | ama kweli kila binadamu ni mshindwa na at the same time ni mshindi | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
null | ukipiga 15003 kwa sasa unapata ujumbe gani mc | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | anakujibu yuko safe na hayupo safe ili umwage ndani apate mimba hapo unamlaumu mwanaume | Wastani | sentiment | afrisenti |
Tafadhali tambua mawazo yaliyoonyeshwa kwenye matini haya kwa kutegemea miongozo ifuatayo: Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | habari asante kwa kuchagua nmbkwa bonus akaunti unatakiwa kuwa na kitambulisho cha kura au leseni ya udereva au pasi ya kusafiria au kitambulisho cha kazi au cha taifa barua ya utambulisho picha 2 za passport size zenye k | Chanya | sentiment | swahili_tweet |
null | pia tumetoa zawadi kwenye wodi ya akina mama katika kituo cha afya cha makole jijini dodoma tulipofika kufanya usafi pamoja na kutoa misaada ya vitu mbalimbali | Chanya | sentiment | afrisenti |
null | nakuandikia pongezi na shukrani kwa miaka 4 katika kiti ulichopo | Chanya | sentiment | swahili_tweet |
null | asante kwa kutembelea kurasa yetu cm | Chanya | sentiment | afrisenti |
null | wadau mbalimbali wa takwimu kutoka taasisi za utafiti wamekutana jijini nairobi kwenye mkutano wa unaolenga matumizi ya takwimu na miundombinu katika kutatua changamoto zilizopo kwenye sekta ya kilimo duniani mkutano huo umeandaliwa na taasisi cgiar | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
null | sawa tumezipokea | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | miongoni mwa mtihani mkubwa sana kwa vijana ni ibada kama upo kwenye hili kundi na bado unajitahidi ibada zisikupite hon | Wastani | sentiment | afrisenti |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | viwavijeshi wanapita katika hatua kuu 6 za ukuaji katika hatua yake ya larvae mayai 10001500 hutagwa na larvae mmoja kwa mwezi hatua pekee inayowezesha kusambaa kwa viwa vijeshi ni kipepeo ambao huruka kwa makundi na wanaweza kuruka hadi kilometa 1500 | Hasi | sentiment | swahili_tweet |
null | rc tanga awaasa watumishi wa wizara ya nishati kuzingatia maadili na zuena msuya tanga mkuu wa mkoa wa tanga martin shigela amewataka watumishi wa umma kufanya kazi kwa kuzingatia maadili ya utumishi | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | wakuu naomba support mwa mtanzania mwenzetu aondoke na ushindi link chagua florinyahtanzania | Wastani | sentiment | afrisenti |
Tafadhali tambua mawazo yaliyoonyeshwa kwenye matini haya kwa kutegemea miongozo ifuatayo: Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | je wajua tigo pesa inahudumia watanzania zaidi ya milioni 76 na imedhamiria kuhakikisha watanzania wengi zaidi wan | Wastani | sentiment | afrisenti |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | nilivyokuwa mdogo baba yangu alikuwa akitoka kazini ananiambia unaweza kuniandikia kitu nifurahi sasa hivi nina vitabu | Chanya | sentiment | afrisenti |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | pesa haikupi kila kitu lakini kila kitu kinataka pesa | Chanya | sentiment | afrisenti |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | abubakar tafadhali tuambie ni tatizo gani haswa hutokezea unapotumia wifi kwa laini yako ya zantel ili tuweze kukusaidia | Chanya | sentiment | swahili_tweet |
null | usicheke watu wanapitia mazito | Chanya | sentiment | swahili_tweet |
null | zaidi ya asilimia 60 ya chakula kinachozalishwa tanzania kinatoka nyanda za juu kusini saggot | Wastani | sentiment | afrisenti |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | mshambuliaji wa mbeya city aitwa kukipiga tp mazembe aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya city ya jijini mbeya eliud ambokile amejiunga na klabu ya toutpuissantmazembe ya nchini congo dr kwa | Wastani | sentiment | afrisenti |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | baadhi ya picha katika fainali ya iliyofanyika jana katika uwanja wa kayanga hongera | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
Tafadhali tambua mawazo yaliyoonyeshwa kwenye matini haya kwa kutegemea miongozo ifuatayo: Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | yaan jamaa huyu ni big thinker maana hakuna hata wimbo wowote wa hovyo kwenye list ya nyim | Chanya | sentiment | swahili_tweet |
null | akizunguma katika ziara hiyo amesema arusha ni miongoni mwa mikoa iliyofanya vizuri katika utoaji wa chanjo ukizingatia j | Chanya | sentiment | swahili_tweet |
null | habari karibu katika ukurasa wetutafadhali tunaomba fika katika duka letu la tigo ukiwa na kitambulisho chako kwa msaada zaidi | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | kufanikiwa huna haja ya uso mzuri na mwili wa kishujaa lakini unahitaji akili ya ustadi na uwezo wa kutenda | Chanya | sentiment | afrisenti |
null | jeshi la polisi laadhimisha siku 16 ya kupinga ukatili wa kijinsia na watoto katika wilaya ya mkuranga mkoa wa kipolisi rufiji pichatanpol | Chanya | sentiment | swahili_tweet |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | tafadhali fahamu kuwa utapata ofa hiyo baada ya kifurushi chako kuishasalim | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | na wao ndio sababu ya mimi kupata matumaini na furaha shukran zangu kwa madaktari wote ambao wamekuwa wakinihudumia kwa tiba tangu utotoni mpaka sasa na wauguzi wote kutoka hospitali mbali mbali za hapa nchini | Chanya | sentiment | swahili_tweet |
null | af ndio inanoga mzee juma halali damu inaflow kichizi | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | tuna washukuru sana watu wotemapenzi yenu kwa viongozi wenu ni makubwa sanasasa ninazo namba mbili kwa ajili ya michan | Chanya | sentiment | afrisenti |
null | kijijini ilongelo lishe bora hunufaika familia nzima mradi wa boresha lishe unaotekelezwa kwa ushirikia | Chanya | sentiment | swahili_tweet |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | mkurugenzi mtendaji wa ineke bussemaker anasema benki hiyo yenye miaka 21 tangu kuanzishwa kwake imetoa m | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
null | wachimbaji wa madini ya aina ya rubi wilayani gairo wametimua mbio na kutelekeza madini ya viwandani aina ya rubi nut pikipiki na vifaa vya uchimbaji baada ya kuona msafara wa mwenyekiti | Wastani | sentiment | afrisenti |
Tafadhali tambua mawazo yaliyoonyeshwa kwenye matini haya kwa kutegemea miongozo ifuatayo: Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | huwa hatuweki akiba ya badae | Wastani | sentiment | afrisenti |
Tafadhali tambua mawazo yaliyoonyeshwa kwenye matini haya kwa kutegemea miongozo ifuatayo: Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | nchi ya tanzania imeshika nafasi ya 147 katika viwango vya ubora vya ambapo nchi | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | niwatu wenye maendeleo mtandaoni ila ukija na uhalisia wao ni zero | Chanya | sentiment | swahili_tweet |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | mnafanya kazi bora kabisa kwa kiswahili safi na kimombo kizuri mungu awabariki mzidi kuitumikia jamii can i get a thunderou | Chanya | sentiment | swahili_tweet |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | tatizo ni vyote viwili lugha jumlisha ufundishaji mbovu mazingira duni a ukosefu wa nyenzo za kujifunzia elim | Hasi | sentiment | afrisenti |
null | zifuatazo ni kurasa rasmi za kwa ajili ya kupata taarifa mbalimbali za hali ya hewa f tanzania meteorolo | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | habari tafadhali fahamu kuwa akaunti yako imewezeshwa kifurushi cha dstv bomba tshs 19000 tafadhali acha kisimbuzi | Chanya | sentiment | afrisenti |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | je wajua binadamu huzaliwa na mifupa 300 lakini anavyokua mtu mzima mifupa hiyo hupungua na kifikia mifupa 206 kutoka | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | habari asante kwa maoni yako tutafanyia kazika | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
null | represent wazawa unit mpunguzi dodoma naomba kibabe ngoma ya izidi kupanda chat kwe | Chanya | sentiment | afrisenti |
Tafadhali tambua mawazo yaliyoonyeshwa kwenye matini haya kwa kutegemea miongozo ifuatayo: Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | unakumbuka hizi sheria zetu za mpira utotoni 1mwenye mpira lazima acheze ata kama hajui mpira 2dogo mnene lazima awe golikipa 3mwenye mpira ataamua nan acheze na nan asicheze 4kama haujashiriki kufuma mpira unaweza ucpate namba | Wastani | sentiment | afrisenti |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | taarifa iwafikie wote ambao tutacheza nao iwe wa ndani au nje | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | ahsante kwa taarifa tutaziwasilisha idara husikank | Chanya | sentiment | swahili_tweet |
null | hello naomba retweets zakutosha watu wajue ninafanya usafi siku hizi | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
null | tangazo la kikao cha watengenezajiwaagizajiwasambazaji na wadau wote wa bidhaa za nondo tarehe 29082019 | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
null | marathon zimekuwa nyingi kupita maelezo na waandaaji hawataki kusema kama kuna vita inakuja | Hasi | sentiment | swahili_tweet |
null | tanzania bila mifuko ya plastiki inawezekana kesho juni mosi 2019 tuachane rasmi na matumizi ya mifuko hiyo | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
null | rais mstaafu wa awamu ya 3 benjamin mkapa amesema moja ya viunzi alivyofanikiwa kuruka katika uongozi wake ni kile cha k | Chanya | sentiment | afrisenti |
null | sekini ni aina ya unyoaji wa nywele kwa kuacha nywele nyingi katikati na kuzipunguza sana za chini | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | ni mwaka mmoja sasa tangu jasiri muongoza njia ruge mutahaba atangulie ni kama juzi tu endelea kupumzika mahali pema peponi | Hasi | sentiment | afrisenti |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | kesho inshaallah baada ya sala ya eid nitakuwa nyumbani tandale nikitoa mkono wa eid kwa ndugu zangu waislamzoezi hi | Chanya | sentiment | afrisenti |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | nawapongeza sana makandarasi kwa kuomba hii kazi watakula sato mpaka watoshe na meli wanatuachia rais | Chanya | sentiment | swahili_tweet |
Tafadhali tambua mawazo yaliyoonyeshwa kwenye matini haya kwa kutegemea miongozo ifuatayo: Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | mauaji polisi na raia uvinza waziri wa mambo ya ndanj mh kangi lugola amemuagiza igp awaondoe ktk nafasi zao kaimu kamanda wa polisi mkoa wa kigoma wakati wa | Hasi | sentiment | swahili_tweet |
null | joel lwaga sitabaki kama | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | alhamdulillah nimefarijika sana kwa heshma hii asanteni sana kwa ishara hii ya kunishukuru | Chanya | sentiment | swahili_tweet |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | bunge bila maswali na majibu wabunge wabongo kweli watajizuia mtu amuongelee afu acmjibu lolote tutakuwa tumepiga hatua | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | ajira za serikali kwanza zinatokana na mahitaji ya huduma za kijamii leo tujiulize shule zina walimu wa kut | Wastani | sentiment | afrisenti |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | zoezi la usajili na utoaji wa vitambulisho halijasimamishwa ni zoezi endelevu karibu kwenye ofisi zetu za usajili wilaya unayoishi tuweze kukuhudumia | Chanya | sentiment | afrisenti |
Tafadhali tambua mawazo yaliyoonyeshwa kwenye matini haya kwa kutegemea miongozo ifuatayo: Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | nakujuza kama hujui kuhusu instagram kuna emoj hii ukiitumia kwenye post zako mara kwa mara basi account yako unaweza kuipoteza kwa kufutwa kabisa na wamiliki wa instagram | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | are you invited kwenye listening party ya msanii nitawasimulia hapa hapa ukali wa ngoma zilozopo kwenye | Wastani | sentiment | afrisenti |
Tafadhali tambua mawazo yaliyoonyeshwa kwenye matini haya kwa kutegemea miongozo ifuatayo: Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | wanasema mtu anaeongea na simu unaweza ukampa kitu chochote na akapokea kwa mkono wake ba asijue umempa kwa ajili gn kama unabisha jaribu | Wastani | sentiment | afrisenti |
Tafadhali tambua mawazo yaliyoonyeshwa kwenye matini haya kwa kutegemea miongozo ifuatayo: Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | habari anuaritunapenda kukufahamisha kwamba mortagage ni mkopo wa nyumba unaotolewa kwaajili ya kujengaukarabati na manunuzi ya nyumbakaribu tukuhudumie ndoto zako na kuwa na makazi bora na mkop | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
null | huko rwanda polisi wametangaza aliyepoteza hela zake akazifate kituoni huu ni mfano bora wa polisi kulinda usalama wa raia | Chanya | sentiment | swahili_tweet |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | hii episode 3 mmeua sana aisee yani unyamama | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
null | jibu lako ni twenzao app inayokuunganisha dereva wa gari binafsi na abiria wanaoenda mwelekeo wako inapatikana google p | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
Tafadhali tambua mawazo yaliyoonyeshwa kwenye matini haya kwa kutegemea miongozo ifuatayo: Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | kuelekea mkutano mkuu wa wataalam wa maendeleo ya jamii nchini wataalam hao watashiriki zoezi la kuamsha ari katika sh | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | mkuu wa wilaya ya kisarawe mhe atembelea ofisi makao makuu katika ziara hiyo mhe jokate ameliomba | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | uko sahihi sanaunaweza ukaua ratiba zako ili ufanikishe la mtu aliyembali ila siku ukisema siwezi nimeb | Wastani | sentiment | afrisenti |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | kigogo huyu wa cuf ajiuzulu mwenyewe aeleza | Hasi | sentiment | afrisenti |
null | tutumie mitandao yetu effectively wana wamejiongeza safi sana and mungu awaongo | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
null | uwepo wa rushwa kwenye michakato ya kwenye vyama ni jambo linalosababisha wanawakwe wabaki nyuma kwenye kuwania nafasi za uon | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
null | habari ahsante kwa kuwasiliana nasi tunaskitika kujua hilo hivyo fahamu jinsi ya kudhibiti matumizi yako ya intaneti zm | Hasi | sentiment | afrisenti |
null | eazzyfx inakupa uwezo wa kujihudumia kubadili fedha za kigeni popote ulipo bila kufika kwenye matawi yetu tembelea tovut | Wastani | sentiment | afrisenti |
Tafadhali tambua mawazo yaliyoonyeshwa kwenye matini haya kwa kutegemea miongozo ifuatayo: Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | u17 women world cup qualifiers tanzania 51 burundi aisha masaka aisha masaka joyce meshaki protasia mbunda aisha masaka lidya karenzo bu 71 | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
null | stawi lab inatoa ufadhili wa milioni 5 31 kwa mashirika matatu kwa ajili yakuimarisha utendaji wa taasisi zao pita hap | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | vyombo vya dola viwe waangalizi wa haki kwa vyama vyote husika kusiwepo upendeleo wowote kwa chama chochot | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | ushiriki wa wanawake ktk uongozi ni mdogo kama asasi na tumekua tukiangalia sababu ktk jamii kujua kwa nini | Chanya | sentiment | afrisenti |
null | wachimbaji wa dogo wa dhahabu zaidi 10000 elfu kumi kutoka mikoa ya mara geita shinyanga na simiyu katika kijiji gasuma wilayani bariadi mkoani simiyu ambao wanaelezewa kugundua uwepo wa madini hayo wameishukuru serilikali soma zaidi gtgt | Chanya | sentiment | afrisenti |
Changanua mawazo ya matini yanayofuata na uainishe matini hayo katika mojawapo ya lebo zifuatazo. Chanya: iwapo matini yanadokeza mawazo, mtazamo na hali chanya ya kihisia. Hasi: iwapo matini yanadokeza mawazo au hisia hasi. Wastani: iwapo matini hayadokezi lugha chanya au hasi kwa njia ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja. | tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokezahuduma imerejea unaweza kutumiank | Wastani | sentiment | afrisenti |
null | jeshi la polisi likimkamata kwa nguvu gavana wa nairobi mike sonko mapema leo baada ya kuwa amekataa kuingia kwenye heli | Hasi | sentiment | swahili_tweet |
null | kesho yake ni jukumu letu sote | Wastani | sentiment | swahili_tweet |
null | sio ujanja lakini | Wastani | sentiment | afrisenti |
Subsets and Splits