English sentence
stringlengths 1
1.37k
⌀ | Swahili Translation
stringlengths 1
1.21k
⌀ |
---|---|
For how long will you stay?
|
Utakaa muda ghani?
|
If I don't eat, I will die.
|
Nisipokula nitakufa.
|
We didn't see any children at all.
|
Hatukuona watoto wo wote.
|
We didn't see a single game.
|
Hatukuona michezo yo yote.
|
What's this thing used for?
|
Kazi yake nini kitu hiki?
|
Hi!
|
Jambo!
|
Good question.
|
Swali nzuri.
|
I have a question.
|
Nina swali.
|
I felt ill.
|
Nilijisikia vibaya.
|
I felt bad.
|
Nilijisikia vibaya.
|
He is a good student.
|
Yeye ni mwanafunzi mzuri.
|
I don't know what to say...
|
Sijui niambie nini...
|
Elephants eat grass.
|
Tembo wanakula nyasi.
|
If you don't understand, ask.
|
Usipoelewa, uliza.
|
If you do not understand, ask.
|
Usipoelewa, uliza.
|
It's not important.
|
Si ya maana.
|
It's not important.
|
Si muhimu.
|
It isn't important.
|
Si muhimu.
|
Languages have difficult words.
|
Lugha zina maneno magumu.
|
Stay home.
|
Kaa nyumbani.
|
Why!
|
Kwa nini!?
|
Alright, OK.
|
Sawa, sawa
|
Happy New Year!
|
Heri ya mwaka mpya!
|
Millie doesn't drink water.
|
Millie hanywi maji.
|
We want complete sentences.
|
Tunataka misemwa inayoenea.
|
I'm French and she's American.
|
Mimi ni Mfaransa na yeye ni Mamerika.
|
I am French and she is American.
|
Mimi ni Mfaransa na yeye ni Mamerika.
|
I'm French and he's American.
|
Mimi ni Mfaransa na yeye ni Mamerika.
|
I am French and he is American.
|
Mimi ni Mfaransa na yeye ni Mamerika.
|
Who's she?
|
Yeye ni nani?
|
Who is she?
|
Yeye ni nani?
|
The tank is empty.
|
Tangi ni tupu.
|
The tank is full.
|
Tangi limejaa.
|
What is my room number?
|
Chumba changu ni namba ngapi?
|
There was nobody.
|
Hapakuwa na mtu.
|
You must go home.
|
Lazima uende nyumbani.
|
Tom is a teacher.
|
Tom ni mwalimu.
|
Tom is at school.
|
Tom yuko shuleni.
|
Tom was at school.
|
Tom alikuwa shuleni.
|
There's no reason to be afraid.
|
Hakuna sababu ya kuogopa.
|
What is the price?
|
Bei gani?
|
I'm ready.
|
Nimemaliza.
|
The car is out of order.
|
Gari limeharibika.
|
How much must I pay?
|
Nilipe kiasi gani?
|
When will we arrive?
|
Tutafika lini?
|
Go straight ahead.
|
Nenda moja kwa moja.
|
Please close the window.
|
Tafadhali funga dirisha.
|
I'm thirty now.
|
Niko na miaka thelathini sasa.
|
Good morning, people!
|
Habari za asubuhi watu!
|
She needs help.
|
Anahitaji msaada.
|
I'm happy.
|
Ninafurahi.
|
I'm not happy.
|
Sifurahi.
|
I know that I know.
|
Najua kwamba najua.
|
I don't want any bananas at all.
|
Sitaki ndizi zozote.
|
What's my room number?
|
Chumba changu ni namba ngapi?
|
I don't want any milk at all.
|
Sitaki maziwa yoyote.
|
I don't want anybody at all.
|
Sitaki watu wo wote.
|
I've had enough of your anti-science poverty.
|
Nimetosha na umaskini wako wa kupinga sayansi.
|
You wanted to tell me about freedom?
|
Ulitaka kunieleza kuhusu uhuru?
|
I started learning Chinese last week.
|
Nilianza kujifunza Kichina juma lililopita.
|
You are a good student.
|
Wewe ni mwanafunzu mzuri.
|
You have to turn in the reports on Monday.
|
Lazima uwasilishe ripoti Jumatatu.
|
What do you intend to do?
|
Unanua kufanya nini?
|
Where are you from in Canada?
|
Unatoka wapi huko Kanada?
|
You always like to trip me up, don't you?
|
Unapenda kunifanyia mzaha, sio?
|
Prices are high these days.
|
Bei ziko juu mno siku hizi.
|
The bridge is open to traffic.
|
Daraja liko wazi kwa trafiki.
|
Fish, please.
|
Samaki, tafadhali
|
You'll miss the train if you don't hurry.
|
Utaachwa na garimoshi usipoharakisha.
|
Discussion is based upon mutual respect.
|
Majadiliano yanategemea kustahiana.
|
In the days of the knights, they wore shields to protect themselves from sword-fight wounds.
|
Katika siku za vita, walivaa ngao kujilinda na majeraha ya mapanga.
|
We can say that Japan was fighting a constant battle against hunger during the war.
|
Tunaweza kusema kuwa Japan ilikuwa ikipigana vita vya mara kwa mara dhidi ya njaa wakati wa vita.
|
If the quality of your product meets with our customer's approval, we will place regular orders.
|
Ikiwa ubora wa bidhaa yako inafurahisha wateja wetu, tutaweka maagizo ya kila mara.
|
During the press conference, the President touched on foreign relations.
|
Wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Rais alizungumza kuhusu uhusiano wa nje.
|
A whistle blew, and the boat slowly began to pull out of port.
|
Filimbi ililia, na mashua ikaanza polepole kutoka bandarini.
|
I met Naomi on my way home and we had a chat.
|
Nilikutana na Naomi nilipokuwa nikirudi nyumbani na tukawa na mazungumzo.
|
After having fought many hard battles, we were able to bring home the bacon and set up a new government.
|
Baada ya kupigana vita vingi ngumu, tuliweza kuleta matekeo ya maana na kuanzisha serikali mpya.
|
Strange to say, he didn't know the news.
|
Ni ajabu kusema, hakuwa anajua taarifa.
|
Billy often hits his face against windows.
|
Mara nyingi Billy hugonga uso wake madirishani.
|
If it becomes stubborn indeed it stands alone.
|
Ikiwa inakuwa mkaidi kweli inasimama peke yake.
|
The audience was excited at the game.
|
Hadhira walifurahia mchezo.
|
He left his team as he could not get along with the manager.
|
Aliacha timu yake kwa kuwa hakuelewana na meneja.
|
Shouts of joy burst forth.
|
Shangwe na nderemo zilisikika.
|
I beat him completely in the debate.
|
Nilimshinda kabisa kwenye mjadala.
|
You have our permission to include our software on condition that you send us a copy of the final product.
|
Una ruhusa yetu kujumuisha programu yetu kwa sharti kwamba ututumie nakala ya bidhaa ya mwisho.
|
An old oak is groaning in the storm.
|
Mwaloni mzee anaguruma katika dhoruba.
|
My forehead burned with fever.
|
Kisogo changu kiliungua kwa joto kali.
|
I graduated from the school.
|
Nilihitimu kutoka shule.
|
Remember to post the letter on your way to school.
|
Kumbuka kutuma barua unapoelekea shule.
|
This was third school shooting incident in six months.
|
Hili lilikuwa tukio la tatu laq ufiatuaji risasi katika shule ndani ya miezi sita.
|
Indeed she is young and beautiful, but she is in delicate health.
|
Hakika yeye ni mchanga na mrembo, lakini ana afya dhaifu.
|
If you shout from the top of a cliff, you can hear the echo of your voice.
|
Ukipiga kelele juu ya mwamba, unaweza kusikia mwangwi wa sauti yako.
|
A cellar was dug on top of the hill and they slowly moved the house from the road to the hill.
|
Pishi lilichimbwa juu ya kilima na polepole walihama nyumba hiyo kutoka barabarani kwenda kilimani.
|
All aboard!
|
Wote ndani!
|
All right, everyone, let's not stand on ceremony tonight. Cheers!
|
Haya, kila mtu, na tusisimame kwenye sherehe leo jioni. Chereko!
|
Everybody took a hostile attitude toward illegal aliens.
|
Kila mtu alikuwa na mtazamo wa uhasama kwa wageni haramu.
|
The pirates buried their treasure in the ground.
|
Maharamia walizika hazina yao ardhini.
|
By studying overseas, students can come into contact with other manners and customs.
|
Kwa kusoma ng'ambo, wanafunzi wanaweza kutangamana na tabia na mila zingine.
|
If you go underwater, hold your nose and blow to clear your ears.
|
Ikiwa unaenda chini ya maji, shika pua yako na pigo ili kusafisha masikio yako.
|
There go the twelve bars blues.
|
Inapitia vipigwa kumi na viwili.
|
Subsets and Splits
Long Swahili Sentences
Retrieves 1,000 Swahili translations longer than 20 characters, providing a basic sample for further analysis.